Kiungo wa zamani wa Bayern Munich, Sebastian Rode akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Eintracht Frankfurt ikiilaza 2-0 Benfica katika mchezo wa marudiano Robo Fainali Europa League usiku wa jana Uwanja wa PSD Bank Arena mjini Frankfurt am Main na kufanya sare ya jumla ya 4-4 lakini akiiwezesha timu yake kusonga mbele kwa mabao ya ugenini kufuatia kufungwa 4-2 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
GB's Asher-Smith and Hunt reach 200m final
-
Great Britain's Dina Asher-Smith and Amy Hunt reach the final of the
women's 200m at the World Athletics Championships in Tokyo.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment