YANGA SC WALIVYOJIFUA MARA YA MWISHO KABLA YA KUIVAA KARIOBANGI SHARKS KESHO TAIFA
Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Kariobangi Sharks katika kilele cha Wiki ya Mwananchi Uwanja wa Taifa
0 comments:
Post a Comment