MKONGWE WA YANGA, MRISHO KHALFAN NGASSA AKIFURAHIA MAISHA MBELE YA GARI LAKE
Kiungo mkongwe wa klabu ya Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa akifurahia mbele ya gari lake wakati huu wa mapumziko ya soka kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment