KIPA namba moja wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Aishi Salum Manula akijifua kwenye mazoezi binafsi Jijini Dar es Salaam kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya vikosi vyake vyote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Minnesota visits Seattle, seeks 25th victory this season
-
Minnesota Lynx (24-5, 16-2 Western Conference) at Seattle Storm (16-13, 9-7
Western Conference)
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment