HATIMAYE UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX WAKAMILIKA CHAMAZI, SASA WAFANANA NA WA TP MAZEMBE
Hatimaye ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Jijini Dar es Salaam umekamilika na sasa kinachosubiriwa ni kurejea kwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ambayo imesimama kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona ili vijana warudi nyumbani Chamazi.
Azam Complex unakuwa Uwanja mwingine baada ya Stade TP Mazembe uliopo Jijini Lubumbashi, unaotumiwa na klabu ya TP Mazembe uliowekwa nyasi bandia za kisasa barani Afrika
Sasa kinachosubiriwa ni kurejea kwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili vijana warudi nyumbani Chamazi
Sasa kinachosubiriwa ni kurejea kwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili vijana warudi nyumbani Chamazi
Item Reviewed: HATIMAYE UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX WAKAMILIKA CHAMAZI, SASA WAFANANA NA WA TP MAZEMBE
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
SGF, lawmaker back president’s second term
-
From Godwin Tsa, Abuja The Secretary to the Government of the Federation
(SGF) Senator George Akume, has called on the people state to support
President ...
0 comments:
Post a Comment