MKALI WAO, BERNARD MORRISON AKIWA AMEJIPUMZISHA SEBULENI KWAKE BAADA YA MAZOEZ YA KUTOSHA YA VIUNGO KUUWEKA MWILI WAKE SAWA
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mghana Bernard Morrison akia amejipumzisha sebuleni kwake baada ya mazoezi ya viungo katika kipindi hiki timu yake imesitisha mazoezi kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Item Reviewed: MKALI WAO, BERNARD MORRISON AKIWA AMEJIPUMZISHA SEBULENI KWAKE BAADA YA MAZOEZ YA KUTOSHA YA VIUNGO KUUWEKA MWILI WAKE SAWA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment