NYOTA MKONGWE WA KLABU YA YANGA, MRISHO KHALFAN NGASSA AKICHEZA KWENYE MAJI YA BWAWA
KIUNGO mkongwe wa Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa (kulia) akifurahia kwenye maji ya bwawa kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya vikosi vyake vyote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment