AMBAVYO SHAABAN IDDI CHILUNDA, NYOTA WA AZAM FC ANA VIFAA VINGI MAALUM KWA MAZOEZI BINAFSI NYUMBANI
Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akifanya mazoezi binafsi nyumbani kwake kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya timu zake zote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Hapa Shaaban Iddi Chilunda anafanya mazoezi ya tumbo katika kifaa maalum alichonacho nyumbani kwake
Hapa Shaaban Iddi Chilunda anafanya mazoezi ya kunyonga baiskeli maalum isiyotembea aliyonacho nyumbani kwake
Hapa Shaaban Iddi Chilunda anafanya mazoezi ya tumbo na eneo lote la juu la mwili
Shaaban Iddi Chilunda ana vifaa vingi maalum kwa mazoezi ya nyumbani
Item Reviewed: AMBAVYO SHAABAN IDDI CHILUNDA, NYOTA WA AZAM FC ANA VIFAA VINGI MAALUM KWA MAZOEZI BINAFSI NYUMBANI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment