KIPRE TCHETCHE NA KPAH SHERMAN WANAVYOFURAHIA MAISHA MALAYSIA
Mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, Muivory Coast, Kipre Herman Tchetche (kulia) akiwa na mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Mliberia Kpah Sherman pamoja na wachezaji wenzao wa Kedah FC ya Ligi Kuu ya Malaysia kipindi hiki klabu yao imesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19
0 comments:
Post a Comment