KWA KOCHA JOSE MOURINHO BARAKOA NI YA KUSHIKA MKONONI TU
Kocha Mreno wa Tottenham Hotspur ya England, Jose Mourinho akitembea huku ameshika barakoa mkononi kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment