KIUNGO MKENYA WA SIMBA SC, FRANCIS KAHATA NYAMBURA AKIJFANYA MAZOEZI BINAFSI KWAO NAIROBI NA BARAKOA YAKE
Kiungo Mkenya wa Simba SC ya Dar es Salaam, Francs Kahata Nyambura akifanya mazoezi peke yake kwao na barakoa Jijini Nairobi kipindi hiki timu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Item Reviewed: KIUNGO MKENYA WA SIMBA SC, FRANCIS KAHATA NYAMBURA AKIJFANYA MAZOEZI BINAFSI KWAO NAIROBI NA BARAKOA YAKE
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment