FUNDI MZAMBIA WA SIMBA SC CLATOUS CHOTA CHAMA AKIJIFUA NA MKEWE NYUMBANI KUJIWEKA FITI
Kiungo Mzambia wa Simba SC ya Dar es Salaam, Clatous Chota Chama akifanya mazoezi na mkewe nyumbani kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment