Kipa wa Simba SC, Aishi Salum Manula (kushoto) alimkaribisha mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda kucheza naye Games nyumbani kwake, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam katika kipindi hiki timu zao zimesitisha mazoezi kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19. Manula na Chilunda wote wamewahi kucheza pamoja Azam FC baada ya kuibuliwa kwenye akademi ya klabu hiyo.
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment