KIPA WA TATU WA YANGA SC, RAMADHANI AWAM KABWILI AKIJIFUA 'KIKOMANDOO' MSITUNI
KIPA wa tatu wa klabu ya Yanga SC, Ramadhani Awam Kabwli akifanya mazoezi binafsi kujiweka fiti kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya vikosi vyake vyote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment