BEKI CHIPUKIZI WA TANZANIA ANAYECHEZA SOKA YA KULIPWA MOROCCO, NICKSON KIBABAGE YUKO POA KAMA HIVI
BEKI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Nickson Kibabage akifurahia maisha nchini Morocco anakochezea klabu ya Difaa Hassan El-Jadidi kipindi hiki timu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
Item Reviewed: BEKI CHIPUKIZI WA TANZANIA ANAYECHEZA SOKA YA KULIPWA MOROCCO, NICKSON KIBABAGE YUKO POA KAMA HIVI
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment