HAPA SHOMARI SALUM KAPOMBE NI BABA, TOFAUTI KABISA NA YULE BEKI WA KULIA WA SIMBA SC
Beki wa klabu ya Simba SC, Shomari Salum Kapombe akiwa nyumbani kwake na mwanawe Jijini Dar es Salaam kipindi hiki cha mapumziko ya soka kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment