RONALDO ANAVYOJIFUA KWA BIDII ILI AENDEE KUWA FITI ZAIDI
Mshambuliaji Mreno wa Juventus ya Italia, Cristiano Ronaldo akifanya mazoezi binafsi kipindi hiki timu zao zimesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
0 comments:
Post a Comment