BONDIA Mtanzania, Yusuph Changalawe ametinga robo fainali ngumi za ridhaa uzito wa Light Heavy (kg 75-80) katika Michezo ya Jumuiya ya Madola inayoendelea Jijini Birmingham baada ya kumshinda kwa pointi Curlin Richardson wa Visiwa vya Anguila usiku wa Jumatatu.
0 comments:
Post a Comment