SERIKALI YAAGIZA BMT KUFANYIA KAZI VIPIGO VYA STARS, MWAKINYO
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Omary Mchengerwa ameliagiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kufanyia kazi matokeo mabaya ya timu ya taifa ya soka na kilichotokea kwenye pambano la bondia Hassan Mwakinyo Uingereza mwishoni mwa wiki.
0 comments:
Post a Comment