Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika, Nalimi Mayunga akiimba wakati wa uzinduzi wa msimu wa pili wa shindano la muziki la Airtel Trace Music Stars leo mjini Dar es Salaam. Shindano huwapa fursa Watanzania kuonyesha vipaji vyao na hatimaye kujishindia zawadi nono, ikiwemo kwenda kurekodi video na wimbo na mwanamuziki nyota wa Marekani, Keri Hilson
Mod Sun Speaks Out About the End of His Engagement to Avril Lavigne: 'We're
Two Different People'
-
The couple got engaged in Paris in April 2022, but parted ways less than
one year later
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment