Wachezaji wa Sevilla ya Hispania wakiwa wamebeba Kombe la UEFA Europa League baada ya kutwaa usiku huu kufuatia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Liverpool ya England Uwanja wa St. Jakob-Park mjini Basel, Uswisi. Daniel Sturridge alianza kuifungia Liverpool dakika ya 35, kabla ya Kevin Gameiro kuiswazishia Sevilla dakika ya 46 na Jorge Andujar Moreno 'Coke' kufunga la pili na la tatu dakika za 64 na 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cadence Design Systems Inc (CDNS) Q3 2025 Earnings Call Highlights: Strong
Revenue Growth and ...
-
Cadence Design Systems Inc (CDNS) reports robust financial performance with
a 14% revenue growth outlook, driven by AI innovations and strategic
acquisitions.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment