Nyota wa Ubelgiji, Eden Hazard akimiliki mpira mbele ya Perparim Hetemaj wa Finland katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Euro 2016 Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussel timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Bao la Finland likifungwa na Kasper Hamalainen dakika ya 53, kabla ya Romelu Lukaku kusawazisha dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Here's Why We Think TUI (ETR:TUI1) Might Deserve Your Attention Today
-
XTRA:TUI1 1 Year Share Price vs Fair Value Explore TUI's Fair Values from
the Community and select yours Investors are...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment