Kocha wa Mchester City, Pep Guardiola akiwa mnyonge baada ya timu yake kuchapwa mabao 2-0 na wenyeji Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa White Hart Lane. Mabao ya Spurs yamefungwa na Aleksandar Kolarov na Dele Alli, wakati Erik Lamela alikosa penalti iliyookolewa na kipa wa Man City, Claudio Bravo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
What next for Kieran Trippier?
-
Newcastle United defender Kieran Trippier has an open mind about his next
move as he focuses on finishing his St James' Park stay on a high.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment