Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic (kushoto) akijaribu kumpita beki wa Stoke City, Bruno Martins Indi (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Man United wakitangulia kwa bao la Anthony Martial dakika ya 69 kabla ya Joe Allen kuisawazishia Stoke dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CJ Allen explains why No. 53 was the perfect fit with Colts
-
CJ Allen did not expect to wear No. 53 when he arrived at rookie minicamp
with the Indianapolis Colts, but the number quickly began to feel
meaningful for ...
30 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment