Nyota wa Barcelona, Neymar (kushoto) akiwa amemtembelea Mbrazil mwenzake, Gabriel Jesus wa Manchester City hospitalini baada ya kufanyiwa upasuaji wa mguu ambao utamuweka nje ya Uwanja kwa wiki zisizopungua 12 na tayari kocha wake, Pep Guardiola amesema haamini kama mchezaji huyo atacheza tena msimu huuPICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment