Kocha wa Brazil, Tite akizungumza na wachezaji wake mazoezini jana kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Amerika Kusini dhidi ya Paraguay leo Uwanja wa Nacional de Brasilia Mane Garrincha mjini Brasilia. Brazil inahitaji ushindi ili kujihakikishia kuwa timu ya kwanza kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment