MBIKI MSUMI NA ANGELA DAMAS MWAKA 2002 WALITIKISA KINOMA
Warembo Angella Damas (kulia) na Mbiki Msumi (kushoto) wakifurahia wakati wa kambi yao ya kujiandaa na Miss Tanzania mwaka 2002. Mbiki alikuwa Miss Dar City Centre na Miss Ilala na Angela akawa Miss Tanzania mwaka huo na kote huko wakifuatana katika nafasi mbili za juu
0 comments:
Post a Comment