James Rodriguez (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Colombia bao la kwanza dakika ya 20 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Ecuador jana Uwanja wa Olimpico Atahualpa mjini Quito kwenuye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika. Bao la pili lilifungwa na Juan Cuadrado PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment