Kipa Gianluigi Buffon akizungumza na Waandishi wa Habari jana kuelekea mchezo wake 1,000 wakati timu yake ya taifa, Italia itakapoikaribisha Albania leo mjini Palermo katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia. Buffon alicheza mechi yake ya kwanza Parma akiwa ana umri wa miaka 17 mwaka 1995, kabla ya kuhamia Juventus mwaka 2001 na kipa huyo ameichezea Italia kwa miaka zaidi ya 19 tangu Oktoba 29, mwaka 1997 akiwa ana umri wa miaka 19 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Starmer turns to Gordon Brown to save faltering premiership
-
Sir Keir Starmer has brought Labour heavyweights Gordon Brown and Harriet
Harman back into government in an attempt to shore up his premiership.
24 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment