Alexis Sanchez akifumua shuti la mpira wa adhabu kuifungia Chile bao la kwanza dakika ya tano katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Venezuela jana Uwanja wa Monumental David Arellano mjini Santiago, Chile katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini. Mabao mengine ya Chile yalifungwa na Esteban Paredes dakika ya saba na 22 huku Sanchez akikosa penalti dakika ya 77, kabla ya Salomon Rondon kuifungia bao la kufutia machozi Venezuela dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
President of Parks and Rec? Trump asserts authority over public spaces in DC
-
A federal judge weighing the future of an expansive Washington park
insisted this week she had no intention of becoming Amy Poehler, the
actress who spent ...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment