Jonathan Kodjia wa Aston Villa akishangilia baada ya kuifungia Ivory Coast bao la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Urusi kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa FK Krasnodar mjini Krasnodar. Bao lingine la Ivory Coast lilifungwa na Wilfried Zaha dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
50 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment