Mario Gomez akienda hewani kuifungia Ujerumani bao la tatu dakika ya 45 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Azerbaijan usiku wa jana Uwanja wa Tofiq BÉ™hramov adına Respublika stadionu mjini Bakı, Baku katika mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Andre Schurrle mawili dakika za 19 na 81 na Thomas Muller dakika ya 36 wakati la wenyeji lilifungwa na Dimitrij Nazarov dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
50 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment