Paulinho akishangilia na mchezaji mwenzake, Philippe Coutinho (kulia) baada ya kufunga mabao matatu Brazil dakika za 19, 52 na 90 na ushei katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji Uruguay Uwanja wa Centenario mjini Montevideo Alfajiri ya leo katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Urusi 2018 kwa kanda ya Amerika Kusini. Uruguay walitangulia kwa bao la penalti la mshambuliaji wa PSG, Edinson Cavani dakika ya tisa wakati bao lingine la Brazil lilifungwa na Neymar dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment