Nyota wa Brazil, Philip Coutinho (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Brazil katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Paraguay kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2018 kwa Amerika ya Kusini Uwanja wa Arena Corinthians mjini Sao Paulo, Brazil. Coutinho alifunga dakika ya 34, Neymar dakika ya 64 wakati bao lingine lilifungwa na Marcelo dakika ya 86 na Brazil inakuwa timu ya kwanza kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment