Beki Leonardo Bonucci akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Italia dakika ya 32 ikiwalaza 2-1 wenyeji Uholanzi katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Amsterdam Arena jana. Alessio Romagnoli alijifunga dakika ya 10 kuwapatia Uholanzi bao la kuongoza, lakini Eder Martins akaisawazishia Italia dakika moja baadaye PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment