Marcelo akinyoosha kidole juu kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la tatu dakika ya 82 ikiilaza 3-0 Eibar usiku wa jana kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid, Hispania. Mabao mengine ya Real, Paulo Oliveira alijifunga dakika ya 18 na lingine alifunga Marco Asensio dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monday, October 23, 2017
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment