Refa Ruddy Buquet akimuonyesha kadi nyekundu mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Neymar Junior dakika ya 87 baada ya kumuonyesha kadi ya pili njano dakika mbili tu baada ya kumuonyesha kadi ya kwanza ya njano katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Velodrome mjini Marseille. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2, mabao ya PSG yakifungwa na Neymar dakika ya 33 na Edinson Cavani dakika ya 90 na ushei, wakati ya Marseille yalifungwa na Luiz Gustavo dakika ya 16 na Florian Thauvin dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
🚨 Bizarre situation, Le Mans's promotion to Ligue 1 isn't official!
-
Total confusion on the final day of Ligue 2.After more than 40 minutes of
silence, the referee officially announced that the match between Bastia and
Le Ma...
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment