Wachezaji wa Fenerbahce wakimuokoa refa wa pembeni, Tark Ongun aliyekuwa akishambuliwa kwa chupa, makopo na vitu vingine na mashabiki wa Galatasaray katika mchezo wa mahasimu wa Jiji wa la Istanbul uliomalizika kwa sare ya 0-0 usiku wa jana Uwanja wa Turk Telekom mjini İstanbul, Uturuki. Vurugu hizo zilitokea dakika ya 73, baada ya winga wa wenyeji, Younes Belhanda kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kujirusha na kutolewa kwa kadi nyekundu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Injured Australia captain Healy out of England match
-
Captain Alyssa Healy ruled out of Australia's World Cup meeting with
England on Wednesday with a calf injury.
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment