Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger akisikitikia kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Manchester City ya kocha Mspaniola, Pep Guardiola usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates London. Hiki ni kipigo cha pili mfululizo Man City wanaipa Arsenal ndani ya siku tano baada ya Jumapili kuifunga 3-0 katika fainali ya Kombe la Ligi England Uwanja wa Wembley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Friday, March 02, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment