Nyota wa Atletico Madrid, Jorge Resurreccion Merodio maarufu kwa jina la utani, Koke akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sporting Lisbon ya Ureno kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya UEFA Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, Hispania. Bao lingine la Atletico Madrid limefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wiegman 'not very positive' about Agyemang injury
-
England manager Sarina Wiegman says she is "not very positive" about
Michelle Agyemang's injury after the forward was carried off on a stretcher
during the...
57 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment