Mshambuliaji Mfaransa, Alexandre Lacazette akinyoosha vidole juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 85 na 89 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Nacho Monreal dakika ya 51 na Aaron Ramsey dakika ya 82, wakati la West Ham limefungwa na Marko Arnautovic dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Van Dijk rejects Rooney's 'lazy criticism'
-
Liverpool captain Virgil van Dijk says Wayne Rooney blaming a lack of
leadership for the Anfield side's recent poor form is "lazy criticism".
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment