Ander Herrera akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 62 ikiilaza 2-1 Tottenham Hotspur katika Nusu Fainali ya Kombe la FA England leo Uwanja wa Wembley, London. Spurs ilitangulia kwa bao la Dele Alli dakika ya 11, kabla ya Alexis Sanchez kuisawazishia Man United dakika ya 24. Timu hiyo ya kocha Mreno, Jose Mourinho itakutana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili kesho kati ya Chelsea na Southampton PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Van Dijk rejects Rooney's 'lazy criticism'
-
Liverpool captain Virgil van Dijk says Wayne Rooney blaming a lack of
leadership for the Anfield side's recent poor form is "lazy criticism".
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment