Mshambuliaji Mfaransa, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la kusawazisha dakika ya 82 katika sare ya 1-1 na Arsenal kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates, London. Arsenal ilitangulia kwa bao la mshambuliaji wake Mfaransa pia, Alexandre Lacazette dakika ya 61 huku Atletico ikicheza pungufu tangu dakika ya 10, kufuatia beki wake wa kulia, Sime Vrsaljko kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya njano na dakika moja baadaye, kocha Muargentina wa Atletico Madrid, Diego Simeone naye aklitolewa nje PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Star NFL rookie reveals surprising way he plans to spend his
record-breaking $53m first contract
-
The highly-rated Love was selected No. 3 overall by the Cardinals out of
Notre Dame in last month's NFL Draft and on Friday he formally signed his
four-yea...
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment