Marouane Fellaini akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester United dakika ya 90 na ushei kufuatia kutokea benchi dakika ya 64 kuchukua nafasi ya Jesse Lingard ikiilaza Arsenal 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo Uwanja wa Old Trafford. Paul Pogba alianza kuifungia Man United dakika ya 16 kabla ya Henrikh Mkhitaryan kuisawazishia Arsenal dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Van Dijk rejects Rooney's 'lazy criticism'
-
Liverpool captain Virgil van Dijk says Wayne Rooney blaming a lack of
leadership for the Anfield side's recent poor form is "lazy criticism".
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment