Mashabiki wa Yanga SC wakiwa wanyonge wakati dakika zinaelekea mwisho za mchezo dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC walioshinda 1-0 katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo
Huyu jamaa maarufu kama Mack Yanga akiwa hoi wakati dakika zikiyoyoma
0 comments:
Post a Comment