Winga Gareth Bale (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya nane katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leganes kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Bao la pili la Real Madrid ambayo ilimpumzisha nyota wake, Cristiano Ronaldo lilifungwa na Borja Mayoral dakika ya 45, kabla ya Darko Brasanac kuifungia Leganes la kufutia machozi dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL star Deebo Samuel left fuming after interviewer spills secret live on
air in painful exchange
-
NFL Network's Garafolo was left red-faced at the end of an interview with
Samuel on 'Inside Training Camp Live' earlier this week. 'Alright, edit
that part...
39 minutes ago
0 comments:
Post a Comment