Kiungo Mbrazil, Fernando Luiz Rosa maarufu kama Fernandinho akikimbia na mchezaji mwenzake, Raheem Sterling aliyeseti mabao matatu katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United baada ya kufunga bao la nne dakika ya 64 Uwanja wa London leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya mabingwa hao wa mapema yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 13, Pablo Zabaleta aliyejifunga dakika ya 27 na Gabriel Jesus dakika ya 53, wakati la West Ham limefungwa na Aaron Cresswell dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Van Dijk rejects Rooney's 'lazy criticism'
-
Liverpool captain Virgil van Dijk says Wayne Rooney blaming a lack of
leadership for the Anfield side's recent poor form is "lazy criticism".
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment