Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la tatu kwa penalti dakika ya 79 ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Fiorentina usiku wa jana Uwanja wa Artemio Franchi mjini Firenze katika mchezo wa Serie A. Mabao mengine ya Juventus inayoshinda mechi ya 13 kati ya 14 za ligi msimu huu, yalifungwa na Rodrigo Bentancur dakika ya 31 na Giorgio Chiellini dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
🚨 Bizarre situation, Le Mans's promotion to Ligue 1 isn't official!
-
Total confusion on the final day of Ligue 2.After more than 40 minutes of
silence, the referee officially announced that the match between Bastia and
Le Ma...
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment