Romelu Lukaku akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 33 akimaliza ukame wa mabao wa mechi 12, Mashetani Wekundu wakitoka nyuma kwa mabao 2-0 na kupata sare ya 2-2 ugenini dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana. Bao la pili la Man United lilifungwa na Ander Herrera dakika ya 39 pasi zote za mabao hayo zikitoka kwa Marcus Rashford. Mabao ya Southampton yalifungwa na Stuart Armstrong dakika ya 13 Cedric Soares dakika ya 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2027: Ohafia people’ll support Sen. Kalu’s re-election bid – Don
-
The people of Ohafia Udemeze community in Ohafia Local Government Area of
Abia State have declared unalloyed support for the re-election of Senator
Orji ...
58 minutes ago
0 comments:
Post a Comment