Wachezaji wa Manchester City wakifurahia na taji lao la Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika ya 120 katika fainali nzuri iliyofanyika Uwanja wa Wembley usiku wa jana. Waliofunga penalti za Manchester City ni Ä°lkay Gundogan, Sergio Aguero, Bernardo Silva na Raheem Sterling, wakati Leroy Sane pekee alikosa huku za Chelsea zikifungwa na Azpilicueta, Emerson na Edin Hazard huku Jorginho na David Luiz wakikosa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment